Mafunzo bila ada · EASTRIP
Mafunzo kwa Vijana Kupata Ajira Kupitia Ujuzi wa Kidijitali
Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) inawakaribisha vijana wenye umri wa miaka 18–35 kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kuomba kushiriki katika mafunzo ya ujuzi wa kidijitali yatakayolenga kuongeza uwezo wa vijana katika ajira na ujasiriamali.
Maombi yamefungwa
Mwisho wa kupokea maombi umefika. Tafadhali wasiliana na DIT kwa maelezo zaidi endapo deadline itapanuliwa.